UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA KISIMA
Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) wakifanya maboresho ya miundombinu katika kisima cha majisafi cha SEMA, kilichopo eneo la Utemini, kwa ajili ya kuongeza uzalishaji Maji.
Jumla ya shilingi milioni 15.7 imetumika katika Ununuzi wa vifaa, ikiwemo pampu ya kisima hicho.