Wizara Ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida

Njia za Malipo

Unaweza kufanya malipo kupitia mitandao ifuatayo ya simu. Hakikisha unatumia kumbukumbu namba yenye tarakimu 12 unayopokea kila mwezi.

MIXX BY YAS

Bofya *150*01#

Chagua 4 (Lipa bili)

Chagua 5 (Malipo ya Serikali)

Weka namba ya malipo

Thibitisha Malipo, Lipa yote (1) au lipa kiasi (2)

Weka namba ya siri na kamilisha muamala.

M-PESA

Bofya *150*00#

Chagua 4 (Lipa kwa M-PESA)

Chagua 5 (Malipo ya Serikali)

Chagua 1 (Weka kumbukumbu namba)

Weka namba ya siri na kamilisha muamala

T-PESA

Bofya *150*71#

Chagua 4 Lipa Bili

Chagua 3 (Malipo ya Serikali)

Chagua 1 (Ingiza namba ya Malipo)

Ingiza kiasi

Weka namba ya siri kuthibitisha muamala

AIRTEL MONEY

Bofya *150*60#

Chagua 5 (Lipa Bili)

Chagua 3 (Malipo ya serikali)

Weka namba ya Malipo

Ingiza kiasi

Weka namba ya siri kuthibitisha muamala

HALOPESA

Bofya *150*88#

Chagua 4 (Lipa Bili)

Chagua 5 (Malipo ya serikali)

Chagua 1 Malipo ya Control namba

Weka namba ya Malipo

Ingiza kiasi

Weka namba ya siri kuthibitisha muamala