KUHUSU SISI
KAribu SUWASA
Ninayofuraha kukukaribisha katika tovuti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA). Tovuti ambayo itakupa ufahamu juu ya shughuli zake na kile tunachofanya, uwigo wa huduma zetu, huduma ya maji, miradi tuliyo nayo na mabadiliko mengine katika sekta ya maji na usafi wa mazingira.