TAARIFA
Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Singida(SUWASA)imekamilisha ukarabati wa Tangi la kuhifadhia maji la MUUNGANO lenye ujazo wa lita 50,000 lililipo kanda ya Ikungi.
Ukarabati huo umegharimu kiasi cha TZS 7,070,000 ikiwa ni Gharama za ununuzi wa vifaa na ufundi.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma Suwasa leo Tarehe 02.04.2026